12/06/2020
Find your classmates, schoolmates get to know them and catch up
we provide you with the best information you may need, we bring people together and let people who were here know whats going on in kilosa
District located in Morogoro Region
12/06/2020
Find your classmates, schoolmates get to know them and catch up
MJUE JIRANI YAKO kwa kuandika eneo unalotoka. Kisha jirani yako atakupa like au comment
06/01/2017
TULIKUA TUNAITA LY
Tafuta marafiki uliomaliza nao shule au chuo chochote wilayani kilosa,
Chagua picha yenye mwaka uliomaliza shule Comment kwa kuandika jina la shule (au chuo) uliyomaliza likifuatiwa na neno primary au secondary.
Unaweza ku-Post picha au Comment na uwakumbushe marafiki zako mambo unayoyakumbuka shuleni, taja majina ya waalimu na marafiki uliokuwa nao kipindi hicho, malizia kwa kutoa tofauti ya elimu ya zamani na sasa. Kisha marafiki waliomaliza na wewe watalike na kukujibu comment yako.
-Share na marafiki zako-
Heri ya mwaka mpya wanakilosa
07/09/2016
Elizabeth Rockell (1898-1963) akiwa na mwanae Robert kwenye daraja la Mto mkondoa. Elizabeth ni mke wa John Malville aliesimamia ujenzi wa daraja mkondoa
06/08/2016
Mnapajua hapa wanakilosa?
KILOSA FDC
11/01/2016
Matengenezo ya karavati magomeni
11/01/2016
Silabu machinjioni Maji Yanapoingilia
Mfano mnacheza mchezo wa kupeana (vikoba), siku mafuriko yameingia kijumbe wa kikundi anatoa taarifa kuwa box la kuifadhia hela limesombwa na maji. na kulikuwa kuna milioni 8 ambazo ilibidi upokee wiki linalofata.
je wewe k**a mwanakikundi utachukua hatua gani?
10/01/2016
Magomeni baada ya Mafuriko
07/01/2016
Maisha ya wahanga shule ya msingi lamulilo
Wathirika wa mafuriko kata ya magomeni jana wamepokea msaada wa chakula. Je unaichukuliaje hatua hii, na unadhani shule ambazo zimepokea wahanga zisifunguliwe wapema mpaka serikali itakapopata sehemu ya kuwapeleka wahanga hao.