Tanzania Forestry Research Institute

Call Directions Website Contact the organization

Tanzania Forestry Research Institute Tanzania Forestry Research Institute (TAFORI) was established by Act No. 5 of 1980.

18/09/2026

MAFUNZO YA MRADI WA GCF, CHACHU YA MAENDELEO KWA WILAYA ZA KIBONDO KASULU NA KAKONKO, KIGOMA

Bado Siku Tatu🇹🇿
18/09/2026

Bado Siku Tatu🇹🇿

WENYEKITI NA WATENDAJI WA VIJIJI 22 WATAKIWA KUSIMAMIA UHIFADHI WA MAZINGIRA NA VYANZO VYA MAJI*KIBONDO| Septemba 17, 20...
17/09/2026

WENYEKITI NA WATENDAJI WA VIJIJI 22 WATAKIWA KUSIMAMIA UHIFADHI WA MAZINGIRA NA VYANZO VYA MAJI

*KIBONDO| Septemba 17, 2026: Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Kanali (Mstaafu) Mhe. Aggrey Magwaza, amewataka wenyeviti na watendaji wa vijiji 22 katika Wilaya za Kasulu, Kibondo na Kakonko kusimamia uhifadhi wa mazingira na vyanzo vya maji ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Kanali (Mstaafu) Magwaza ametoa wito huo leo Wilayani Kibondo wakati akifungua awamu ya pili ya mafunzo kwa wenyeviti na watendaji wa vijiji 22 kutoka wilaya hizo, yanayohusu “Ujumuishaji wa Ustahimilivu Unaotegemea Mifumo Ikolojia (EbA) na Urejeshaji wa Mandhari katika Mipango ya Matumizi Bora ya Ardhi ya Vijiji Inayohimili Mabadiliko ya Tabianchi.”

Mafunzo hayo yanaendeshwa na Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI) kwa kushirikiana na Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), kwa ufadhili wa Green Climate Fund (GCF).

Amesema mafunzo hayo ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa GCF FP218, “Kujenga Uhimilivu dhidi ya Mabadiliko ya Tabianchi katika Mandhari za Mkoa wa Kigoma, Tanzania”(Building Climate Resilience in the Landscapes of Kigoma Region, Tanzania).

Kanali (Mstaafu) Magwaza, amesema mradi huo unalenga kuimarisha uwezo wa jamii na taasisi kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kupitia usimamizi endelevu wa ardhi, misitu na mifumo ikolojia.

Aidha, amekemea uchomaji moto holela katika vijiji vya Wilaya za Kasulu, Kibondo na Kakonko, akisema vitendo hivyo vinaharibu mifumo ikolojia.

Amewataka viongozi hao kuachana na imani potofu kuhusu uchomaji moto katika maeneo ya misitu ya asili na kusimamia udhibiti wa mioto hiyo, ikiwemo katika mashamba ya miti.

Kanali (Mstaafu) Magwaza pia amewaasa washiriki kutumia mafunzo hayo k**a fursa ya kujifunza kwa vitendo na kubadilishana uzoefu katika utekelezaji wa majukumu yao ya usimamizi wa mazingira na matumizi ya ardhi.

16/09/2026

KUTOKA MAFUNZO HADI UTEKELEZAJI

Washiriki wa Mafunzo ya Mradi wa GCF wanaeleza walichojifunza na namna watakavyotumia maarifa katika utekelezaji wa mipango ya matumizi bora ya ardhi inayohimili mabadiliko ya tabianchi.

15/09/2026

SERIKALI KUPITIA TAFORI YAENDESHA MAFUNZO KWA MAAFISA WA WILAYA ZA KASULU KIBONDO, KAKONKO,KUPITIA MRADI WA GREEN CLIMATE FUND.(GCF)

SALAM ZA POLE🕯️
07/09/2026

SALAM ZA POLE🕯️

Kazi na Utu Tunasonga Mbele
01/09/2026

Kazi na Utu Tunasonga Mbele

☪️🌙
25/08/2026

☪️🌙

08/08/2026

Ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Watu Wenye Ulemavu, Mhe. Palamagamba Aidan Kabudi (Mb) Banda la TAFORI na TFS Maonesho ya Nanenane Morogoro.

07/08/2026

Mkurugenzi Mkuu TAFOR Afanya ziara Banda la TAFORI na TFS, Maonesho ya Nanenane, awasihi wadau na wananchi wote kutumia matokeo ya tafiti za misitu na nyuki kijikwamu kiuchumi na kuongeza kipato.

Address

Kingolwira
Morogoro

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Telephone

+255232604532

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Forestry Research Institute posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Tanzania Forestry Research Institute:

Shortcuts

Share