19/04/2024
Uongozi wa Moro Family unapenda kuwakaribisha katika mkutano mkuu wa mwaka 2024 utakaofanyika KIMARA TEMBONI kwa wakazi wa Dar Es Salaam, Morogoro na Pwani mnaweza kufika kwa urahisi karibuni sana.
Mawasiliano zaidi 0756098132
AMANI NA MSHIKAMANO KWA WOTE.
10/04/2024
Asante kwa kuwa mshiriki bora na kufanikiwa kuingia kwenye orodha ya ushiriki wa kila wiki! Jj Dagamario Jr., Mwajuma M***a, Hadija Abdul, Edo Bill EID MUBARAK kwenu nyote.
04/04/2024
Bofya link hii kuingia kwenye group letu la WhatsApp
chat.whatsapp.com
02/04/2024
Tunatarajia kufungua group la WhatsApp la mkoa wa Morogoro ( Morogoro Region ) kwa aliye tayari aseme nipo tayari tukupe link ya kujiunga.
06/03/2024
Wow!! Tunafuraha kuwakaribisha humu ndani ndugu Asha Hassani, Chriss Tz, Vicent Salum karibuni sana.
15/02/2024
Hali zenu nyote!!
Kipindi hiki cha kukatika katika kwa umeme na wakati mwingine LUKU kuisha nyakati mbaya au usiku wa manane.
Tunawaletea taa za njia mbili yaani itatumika pindi umeme upo na ukiisha au kukatika itaendelea kuwaka (two ways rechargable bulb)
Zinazotumia betri bei ya jumla Tshs. 15,000/= rejareja ni Tshs. 18,000/=
Za moja kwa moja (hazitumii betri) rejareja Tshs. 13,000/= jumla ni Tshs. 10,000/=
Jumla ni kuanzia PC 5.
📱+255625424924
+255768941177
Karibu sana tutakufikishia mzigo kwa wakati na kwa uaminifu mkubwa.
NB:
- wateja wetu gharama za usafirishaji ni juu ya mteja.
Malipo ya bidhaa ni pindi tu unaweka oda yako.
Asanteni sana
07/02/2024
Ulishawahi kufika BWAKILA JUU?
K**a bado, jiandae kuna jambo letu.
10/06/2022
Siku zinazidi kuyoyoma wapendwa wetu.
Wahi kujisajili mapemaaaa ili kushiriki safari ya Mikumi siku ya Saba Saba.
📍Moro - Mikumi - Moro
Mtanzania Tshs. 45,000/=
Mtoto chini ya miaka 12 Tshs. 25,000/=
Asiye Mtanzania $50
Njoo WhatsApp kusajiliwa +255782951177
MOROGORO YETU, NYUMBANI KWANZA
01/06/2022
Twenzetu Mikumi 07-07-2022
Safari itaanzia Msamvu Sheri saa moja na nusu asubuhi.
Gharama:
📍Moro - Mikumi - Moro
Mtanzania Tshs. 45,000/=
Mgeni $ 85
Mwisho wa kujisajili 03-07-2022
Mawasiliano:
What'sapp +255782951177
Sms/call +255625424924
[email protected]
Nyote mnakaribishwa.
28/05/2022
MIKUMI DAY TRIP
```07-07-2022 - Saba Saba Special```
Tanzania Natural Experiences
inakuletea trip ya utalii kwenda hifadhi ya Mikumi.
💰GHARAMA
📍Dar ➖ Mikumi ➖ Dar
👤 Tanzanian 85,000/=
👤NON CITIZEN 180,000/=
♂️Moro - Mikumi - Moro
Mtanzania Tshs. 45,000/=
Mgeni wa nje Tshs. 85,000/=
Hiyo inahusisha:
Usafiri kwenda na kurudi, viingilio, vinywaji, chakula n.k
MALIPO
📱M-PESA LIPA NAMBA
5886550
Jina: Swahili Eco Tourism
🏦CRDB BANK
0152304156200
👥 Herbert George
*💥DEADLINE 03-07-2022💥*
UNARUHUSIWA KUANZA KUPUNGUZA KIDOGO KIDOGO.
+255782951177 What'sapp
+255625424924 sms/call
[email protected]
🌴TWENZETU MIKUMI - Saba Saba Special
22/02/2022
Choma
Ni eneo lenye upekee wake, ushawahi kufika?
22/12/2021
Kila kikao cha MWAKA huwa ni wakati wa kuwapongeza viongozi mabalozi na wanachama mbalimbali waliofanya vizuri katika maeneo mbalimbali ikiwemo uanachama bora, nidhamu n.k
MATUKIO KATIKA PICHA: viongozi wa Moro Family waliopokea tunzo katika maeneo mbalimbali.
Amani na mshikamano kwa wote ndio silaha yetu.