Halmashauri ya Mji Njombe

Call Directions Website Contact the organization

Halmashauri ya Mji Njombe Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Halmashauri ya Mji Njombe, Government Organization, Lunyanywi, Njombe.

08/10/2026

wa Halmashauri ya Mji Njombe, Mhe. Erasto Mpete, amewataka wazazi kusimamia kwa karibu malezi ya watoto wao na kuwajenga katika misingi ya maadili, mila na desturi njema za Kitanzania.

Akizungumza wakati wa mahafali katika Shule ya Sekondari Mbeyela, Mhe. Mpete amesema kuwa kwa sasa kuna changamoto kubwa ya mmomonyoko wa maadili katika jamii, hivyo wazazi wana wajibu wa kuwaongoza watoto wao ili wasipotoshwe na mienendo isiyokubalika katika jamii.

08/10/2026

wa Halmashauri ya Mji Njombe, Mhe. Erasto Mpete, amewataka wazazi kutekeleza wajibu wao wa kuchangia chakula cha wanafunzi shuleni, ili kuhakikisha watoto wanapata chakula na kusoma katika mazingira bora.

08/10/2026

Ngerera, Afisa Misitu wa Halmashauri ya Mji Njombe, amewahimiza wananchi kutumia fursa ya mvua za El Niño kupanda miti kwa wingi, hususan miti yenye manufaa ya kiuchumi na kimazingira, ili kuongeza kipato na kulinda mazingira.

08/10/2026

;-Alexander Ngerera, Afisa Misitu wa Halmashauri ya Mji Njombe, amesema kuwa baadhi ya aina za miti haziruhusiwi kupandwa katika maeneo ya vyanzo vya maji kutokana na athari zake kwa uhifadhi wa maji na mazingira.

Aidha, amewataka wananchi kuzingatia ushauri wa wataalamu wa misitu na mazingira wakati wa kupanda miti, hususan katika maeneo ya vyanzo vya maji, ili kuhakikisha vyanzo hivyo vinaendelea kuwa salama na kutoa huduma kwa jamii kwa muda mrefu.

08/10/2026

;-Alexander Ngerera, Afisa Misitu wa Halmashauri ya Mji Njombe, amewataka wananchi kuacha tabia ya kuchoma moto holela, akisema moto unaotumika wakati wa usafishaji wa mashamba unaweza kusababisha miti kuungua na kuharibu mazingira.

FEDHA ZA BAKAA JUMLA YA SHILINGI MILIONI 358,500,000 FEDHA ZA BAAKA YA MAPATO YA NDANI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA...
08/10/2026

FEDHA ZA BAKAA

JUMLA YA SHILINGI MILIONI 358,500,000 FEDHA ZA BAAKA YA MAPATO YA NDANI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 ZIMEPELEKWA KUTEKELEZA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO KUANZIA MWEZI JULAI HADI SEPTEMBA 2026.




07/10/2026

Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Mhe Juma Sweda, amesema wananchi wa Kata ya Njombe Mjini wanapaswa kuendelea kushiriki katika zoezi la usafi wa mazingira,

Sweda amesema zoezi hilo limefanyika kwa ushirikiano kati ya Serikali na TANESCO, ambapo taasisi mbalimbali zimepewa nafasi ya kuratibu usafi katika mitaa kwa utaratibu maalum.

Ameishukuru Serikali, TANESCO pamoja na wananchi kwa ushiriki wao mkubwa katika zoezi hilo, akisisitiza kuwa usafi wa mazingira ni muhimu katika kuzuia magonjwa ya kuambukiza, ikiwemo magonjwa ya kuhara na maumivu ya tumbo.

Amesema Serikali itaendelea kuhamasisha wananchi kushiriki katika usafi wa mazingira ili kuhakikisha maeneo yao yanakuwa safi na salama.

UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATA YA LUGENGE.
07/10/2026

UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATA YA LUGENGE.

Wananchi wote wa Kata ya Utalingolo na kata jirani mnaalikwa kufika kwa wingi kushiriki katika hafla ya kufunga mafunzo ...
07/10/2026

Wananchi wote wa Kata ya Utalingolo na kata jirani mnaalikwa kufika kwa wingi kushiriki katika hafla ya kufunga mafunzo ya Jeshi la Akiba (Mgambo) yanayofanyika katika Kata ya Utalingolo, Halmashauri ya Mji Njombe.

JUMLA YA SHILINGI MILIONI 340,428,241.02 FEDHA ZA MAPATO YA NDANI YA HALMASHAURI ZIMEPELEKWA KUTEKELEZA MIRADI MBALIMBAL...
07/10/2026

JUMLA YA SHILINGI MILIONI 340,428,241.02 FEDHA ZA MAPATO YA NDANI YA HALMASHAURI ZIMEPELEKWA KUTEKELEZA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO KUANZIA MWEZI JULAI HADI SEPTEMBA 2026.




Address

Lunyanywi
Njombe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Halmashauri ya Mji Njombe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Halmashauri ya Mji Njombe:

Shortcuts

Share