22/09/2026
KUELEKEA SIKU YA UTALII DUNIANI β 27/09/2026 π¦
Hifadhi ya Taifa Mkomazi inapatikana katika mkoa wa Tanga na Kilimanjaro, ikiwa ni takribani kilomita 8 tu kutoka Mji wa Same kuingia lango kuu Zange gate.
Kuelekea Siku ya Utalii Duniani, tarehe 26 na 27 Septemba 2026, Mkomazi inawakaribisha Watanzania wote kuja kujionea uzuri wa hifadhi kupitia utalii wa matembezi (walking safari) na kupata fursa ya kipekee ya kuwaona Faru Weusi katika mazingira yao ya asili. π¦πΏ
π° Tozo kwa Mtanzania:
Shilingi 17,700/= kwa mtu kwa kuingia na kutembelea eneo la Faru Weusi, ikiwa ni pamoja na VAT.
Usikose nafasi hii ya kutembelea Mkomazi, kujifunza kuhusu uhifadhi na kushuhudia urithi wetu wa asili kwa karibu zaidi.
Mkomazi β Karibu Nyumbani kwa Faru Weusi! π¦π
π Mkomazi National Park
UtaliiTanzania Uhifadhi