20/09/2026
FURSA YA UWEKEZAJI β KARAKANA, SINGIDA
Wadau, kuna kiwanja kinauzwa Mtaa wa Karakana, karibu na Ofisi ya Manispaa ya Singida, Mwamposa na Kanisa la KKKT Karakana.
π Ukubwa: 15 Γ 30 = SQM 450
π° Bei: TSh 16.5 Milioni
Eneo hili linafaa sana kwa nyumba za kupanga au apartment, kwa sababu lipo mjini kati.
Kwa sasa, nyumba ya chumba + sebule + jiko, ikiwa na umeme na maji, inaweza kukodishwa takriban TSh 200,000β300,000 kwa mwezi, kutegemea ubora wa ujenzi na huduma.
Kwa mfano ukijenga units 4:
β’ 200,000 Γ 4 = 800,000/mwezi
β’ 250,000 Γ 4 = 1,000,000/mwezi
β’ 300,000 Γ 4 = 1,200,000/mwezi
Hii ni sawa na takriban TSh 9.6Mβ14.4M kwa mwaka kabla ya gharama za matengenezo na nyinginezo.
Gharama na kiwango cha kodi vitategemea ubora wa apartmentβfensi, paving, finishing, tenki la maji, mfumo wa maji na umeme, pamoja na mpangilio wa majengo.
π₯ WAHI TU WAHI β eneo la mjini, kiwanja tayari kwa uwekezaji.
π 0658 128 485 / 0758 128 485
Dalali Singida Big Boss
π 0658 128 485 / 0758 128 485
Dalali Singida Big Boss