Singida Youth Entrepreneurs and Consultants Cooperative Society

Singida Youth Entrepreneurs and Consultants Cooperative Society

Share

Singida Youth Entrepreneurs and Consultants Cooperative Society (SYECCOS) is a registered society Re

Photos from Singida Youth Entrepreneurs and Consultants Cooperative Society's post 10/08/2021

Aliyekuwa Rais wa wadau wa nyuki(SYECCOS), amesema Nyuki wa Singida wana mgawanyo Mzuri wa kazi ndani ya Mzinga ikiwa Kiongozi Mkuu anaitwa Malkia, na Wengine nyuki vibarua ambao Wana Wizara ya Ulinzi na Usalama, Wizara ya Afya ambapo Kuna Famasia na Daktari, Wizara ya Viwanda na Biashara ambapo Kuna Nyuki bureau Standards (NBS), Wizara ya Kilimo na Mifugo ambapo wanafuga Hadi baadhi ya Binadamu , wanafamasia, Wizara ya Ajira na Maendeleo ya Jamii pamoja na Wizara ya Misitu na Maji.Ameshauri Wakurugenzi wa makampuni na Taasisi nchini Tawajifunze kutoka kwenye nyuki nyuki kwa Ufanisi wa Taasisi zao.

16/06/2019

Njoooni Msome

20/08/2017

KARIBUNI KWENYE UKURASA WA WATAALAMU WA NYUKI TANZANIA

Want your business to be the top-listed Government Service in Singida?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Kisaki Village
Singida