25/01/2026
Kuzuia unyanyasaji mkubwa ktk jamii yetu ya watanzania hususani ukatiri mbalimbali kwa wanawake na watoto pia wanaume nao wanafanyiwa ukatiri mbalimbali kwa wanawake na watoto ktk ndoa zao lakini hawana sehemu ya kusemea lakini sasa hivi papo pa kusemea kupitia shirika la mfumo na muundo Wa Muungano Wa Jamii Tanzania MUJATA ktk mkoa wa Tabora akisimamia m/kiti Wa MUJATA mkoa wa Tabora ndg bundala Masha lugola wakisaidiana na katibu mkuu wangu Wa mujata mkoa wa Tabora ndg vaileth. Karibu sana mujata URAMBO yalipo makao makuu ya mujata urambo Tabora.