02/02/2022
Tanzanite Bridge in Dar es Salaam night view
The High Commission of the United Republic of Tanzania is a Tanzania Diplomatic Mission located in Pretoria, South Africa.
You'll receive info related to embassy activities, immigration, trade, cultural and educational events.
02/02/2022
Tanzanite Bridge in Dar es Salaam night view
17/01/2022
DAR ES SALAAM, TANZANIA
26/12/2021
NEW UPDATED TRAVEL ADVISORY NO. 9 OF 24th DECEMBER 2021
UPDATED TRAVEL ADVISORY NO. 9 OF 24th DECEMBER, 2021 | Embassy of Tanzania in Pretoria, South Africa High Commission of the United Republic of Tanzania in Pretoria, South Africa
20/11/2021
Balozi Gaudence Salim Milanzi akiongozana na Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi Balozi Edwin Rutageruka walipotembelea Banda la Mamlaka ya Biashara Tanzania (TANTRADE) na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) katika Maonesho ya Biashara kwa nchi za Afrika Jijini Durban Afrika Kusini.
kwa maelezo zaidi tafadhali fungua link hapo chini.
https://millardayo.com/balozi-wa-tz-afrika-kusini-na-mkurugenzi-rutageruka-watembelea-maonesho-ya-biashara/
12/11/2021
Ummoja wa watanzania Afrika kusini wanakutangazia mkutano wa funga mwaka, utakao fanyika tarehe 21 Novemba 2021, katika ukumbi wa Hofland park recreation center jijini Johannesburg.
Tafadhali hudhuria bila kukosa.
02/11/2021
*Taarifa ya mabadiliko ya ratiba za shughuli za kikonseli ubalozini.
Tafadhali rejea maelezo yaliyoambatanishwa na Pdf hapa chini.
*Notice of new changes in the Consulate activities at the High Commission. Please refer to the attached Pdf below.
01/11/2021
📌TUNAUNGANA NA DUNIA
KUPOKEA NENO LA MAMA,
GLASGOW SCOTLAND
KESHO NOVEMBA 02, 2021.
29/10/2021
HE met with TPDF young soldiers who have completed their three years Aircraft Mechanical Engineers course in SA. We wish them a successful military future...
Julius K. Nyerere was born Apr 13, 1922 in Butiama, died Oct 14, 1999 in London. Tanzanian first president in 1962–1985.
Tanganyika merges with Zanzibar to form the United Republic of Tanzania.
Tan = Tanganyika
ZA = Zanzibar
Nia = means goal
This is how Tanzania was born 🇹🇿
14/10/2021
Every 14 October is Nyerere Day in Tanzania, a day we remember and honour the memory of our first nation’s president and the only leader who assisted during our independence movement.
"Sisi ni Watanzania na Tunajivunia Utanzania wetu" Baba wa taifa
Mapokezi ya hapo jana Ubalozini, kabla kurejea nyumbani Tanzania.
| Monday | 08:30 - 16:00 |
| Tuesday | 08:30 - 16:00 |
| Wednesday | 08:30 - 16:00 |
| Thursday | 08:30 - 16:00 |
| Friday | 08:30 - 16:00 |