Geolinyi Mbilinyi

Geolinyi Mbilinyi

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Geolinyi Mbilinyi, Landmark & historical place, Along Great North read Zambia, Nakonde.

25/11/2021

20% Off Click To shop up Free Video

25/11/2021

Click play button to Shop Free video

25/11/2021

$10 Off Click To Shop UP free video

23/11/2021

Click to watch full HQ_Video for Free▶️

Photos from Geolinyi Mbilinyi's post 16/04/2017

HESHIMA YA MZAZI

Heshima ya mzazi ni kufanywa kuwa muumbaji pamoja na Mungu kwa njia ya uzao na malezi bora hata kumjengea Mungu kizazi bora.
Heshima hiyo haiko tu kwenye kuzaa watoto na kujaza nchi k**a wengi wanavyodhani. Kuzaa ni hatua moja tu ya kupata heshima ya mzazi, hatua nyingine ni kulea.
Kulea kwa Uzao au watoto wako kwafaa sana ukifanya mwenyewe na sio kuwategemea wengine wakufanyie. Watu wengi wameingia kwenye migogoro na kuathiri hatma za watoto wao kwa kuchanganya malezi na kuwataka au kuwaachilia watu wengine kuwalelea watoto wao.

Hatua nyingine ni hatua ya kuachilia Uzao wako ili wakaishi maisha yao. Hapa napo panashida kubwa, wazazi wengi hawajui namna bora ya kuwaachilia watoto wao ili wakaishi na kuendeleza kizazi chao. Watu wengi wamejikuta katika migogoro isiyo na tija katika hatua Hii.

Siku ukiwa mzazi au Ukiamua kuleta watoto duniani, ujue ni wajibu Wako wa lazima kuhakikisha wanapata mahitaji muhimu k**a vile Makazi salama, chakula cha uhakika na mavazi. Pia ni wajibu wako wa lazima kuwapa urithi wa Hali na Mali, ikiwemo elimu na vitu vingine k**a ardhi na mtandao endelevu wa mafanikio. Hivyo ni muhimu sana kufanya kazi kwa bidii na kuishi na watu vizuri. Mzazi mvivu na asiyejishughulisha kwa bidii huvuruga familia yake na huumba kizazi cha watu wategemezi.
Kadhalika mzazi mgomvi na mwenye mahusiano mabaya na watu huishi kwa shida sana na wengine na huumba uhasama na magomvi kwa familia yake na vizazi vijavyo.

Usije ukawajibika kwa Uzao wako kwa dhana ya kwamba Waje wakusaidie Baadaye au siku za uzee. Sio sahihi kabisa ni mawazo na tamaduni za kizamani na hazikubaliki Kibiblia wala katika jamii za kisasa.
K**a mtoto akibarikiwa Baadaye na akajisikia kukubariki au kushiriki baraka zake na wewe hiyo ni hiari yake na ni neema yapaswa kumshukuru Mungu kwa hilo. Lakini sio lazima, nionavyo mimi. Zaidi ya hilo ni kwamba kutoa au kusaidiana ni mbegu inayopandwa na mzazi husika kwa familia yake. K**a hukuipanda hiyo mbegu usitegemee itatokea ukubwani.

Usivumilie kuishi katika mila na desturi za kizamani zenye kutesa na kukandamiza kwa kisingizio Eti unazilinda. Watu wengi wameharibiwa maisha yao na mila potofu k**a hizi.

Mzazi mwenye hekima hamuandai mtoto wake ili amtunze Baadaye bali anaanda urithi wa Uzao wake katika vizazi vinne vijavyo. Na hiyo ndio heshima ya mzazi kwa mtazamo wangu.

Ubarikiwe!

Herini ya Sikukuu ya Pasaka......

Photos 12/01/2017

Girls you should stop smoking weeds

Photos 13/12/2016

Ofa za x__mass na mwaka mpya karibuni

Kwa mawasiliano ; 0657640159

Photos 20/11/2016

Kwa mafans wangu wote na wasio mafans wangu nawatakia jumapili njema

Photos 30/09/2016
Photos from Geolinyi Mbilinyi's post 05/09/2016

New fashion for you women

Photos from Geolinyi Mbilinyi's post 31/08/2016

Have a nice day ma people

Photos from Geolinyi Mbilinyi's post 30/08/2016

Hello guys

Want your business to be the top-listed Government Service in Nakonde?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Along Great North Read Zambia
Nakonde
1101