24/10/2026
Jana ilikuwa zamu ya wana Keresa, kupitia ushirikiano wa karibu kati ya serikali ya county ya Kilifi na Shirika la Koins for Kenya na Riziki Charities tuliweza kupeana mradi wa madarasa Matatu, vyoo vinane hapo Keresa Primary na Dispensary ya Kwresa.
Nachukua fursa hii kuwashukuru washirika wetu Koins na Riziki kwa upendo wao kwa watu wa Bamba.
Mstahiki Khonde Mungela aliandama nami akiwakilisha Mbunge.