Chuo cha Ustawi wa Jamii

Call Directions Website Contact the organization

Chuo cha Ustawi wa Jamii Ukurasa Rasmi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii (Institute of Social Work) Kijitonyama, Dar es Salaam.

Mkuu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii,Dkt. Joyce Nyoni ameongoza timu ya menejimenti kuzungumza na kuwakaribisha wanafunzi wa...
30/10/2026

Mkuu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii,Dkt. Joyce Nyoni ameongoza timu ya menejimenti kuzungumza na kuwakaribisha wanafunzi wapya wakati wa kuhitimisha mafunzo elekezi kwa wanafunzi wapya.

Akizungumza na wanafunzi hao,amewashukuru kwa kujiunga na .

Aidha,amewakumbusha wanafunzi kujitambua na kukumbuka kuwa wamekuja chuo wakiwa na malengo ya kuyatimiza.

Dkt. Joyce amewataka wanafunzi kuwa na nidhamu ya kitaaluma kwa sababu sheria na miongozo ya taasisi haitamvumilia yeyote.

"Zingatieni maadili mnapokuwa hapa chuoni, kujiepusha na vitendo vibaya katika mazingira ya chuo,tumieni muda vizuri kwenye masomo na kufahamiana na watu ili kujiongezea maarifa,"amesema.

Kwa upande wake, Naibu Mkuu wa Chuo-Taaluma, Prof. Sotco Komba amewasihi Wanafunzi hao kujiepusha na makundi rika ili waweze kujitambua.

JUMA LA PILI LA MAFUNZO ELEKEZIIkiwa ni Jumatatu ya Wiki ya pili ya mafunzo elekezi kwa Wanafunzi wapya Mwaka wa masomo ...
26/10/2026

JUMA LA PILI LA MAFUNZO ELEKEZI

Ikiwa ni Jumatatu ya Wiki ya pili ya mafunzo elekezi kwa Wanafunzi wapya Mwaka wa masomo 2026/2027, inawakaribisha wanafunzi wote waliochaguliwa Kufika chuoni Kijitonyama, Dar es Salam na Kisangara, Mwanga, kilimanjaro kupata mafunzo elekezi na Kufanya usajili ili wawe tayari kuanza masomo yao.
Tunawahimiza kufika kwa wakati ili kukamilisha zoezi hili muhimu ili kupata uelewa wa mazingira mapya ya chuo na huduma zinazotolewa Chuo cha Ustawi wa Jamii.



  .Dr. Imelda Mvile Mzumbe Mzumbe   is Proud of you  Taasisi ya Ustawi wa Jamii (Chuo cha Ustawi wa Jamii)CelebratingSuc...
23/10/2026


.Dr. Imelda Mvile


Mzumbe Mzumbe
is Proud of you
Taasisi ya Ustawi wa Jamii (Chuo cha Ustawi wa Jamii)

CelebratingSuccess
chuochaustawiwajamii

DAY 1 OF ORIENTATION & REGISTRATION WEEK AT ISW The journey to academic excellence has officially begun! 🎓🙌Today marked ...
19/10/2026

DAY 1 OF ORIENTATION & REGISTRATION WEEK AT ISW

The journey to academic excellence has officially begun! 🎓🙌
Today marked the first day of ISW Orientation and Registration Week at the Institute of Social Work (ISW), as our newly selected students began an exciting new chapter filled with learning, growth, new friendships, and endless opportunities.

To all students selected to join Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW) who have not yet reported, THIS IS YOUR CALL! Hurry up and come to our Campuses allocated to complete your registration, participate in the orientation activities, and officially begin your campus life.

Your future starts with the steps you take today. Don't delay—come, register, get oriented, and begin your journey towards academic success and a brighter future!.

Karibuni sana ISW!

19/10/2026

19/10/2026
16/10/2026


Mkuu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW), Dkt. Joyce Nyoni, ameshiriki Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maend...
15/10/2026

Mkuu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW), Dkt. Joyce Nyoni, ameshiriki Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ambao umefanyika katika Ukumbi wa PAPU, Arusha leo Oktoba 15, 2026.

Mkutano huo umezinduliwa na Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima (MB), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum. Mkutano huo umelenga kujadili na kuimarisha mashauriano, ushirikiano na uwajibikaji katika utendaji wa kazi, ili kuongeza tija na kuhakikisha huduma zinazotolewa na Wizara zinaleta matokeo chanya kwa wananchi kuelekea utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

07/10/2026




Address

Institute Of Social Work 210 Shekilango Road P. O. BOX 3375 14113 Kijitonyama Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Telephone

+255677111200

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chuo cha Ustawi wa Jamii posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Chuo cha Ustawi wa Jamii:

Shortcuts

Share

Nearby government services