Bodi ipo chini ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Sheria ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji Sura 426 ya Mwaka 2007. Bodi ina mamlaka ya kusimamia viwango vya utendaji, tabia na maadili ya wataalam wa pamoja na kampuni za mipamgomiji.
The Tanzania Meteorological Authority was established by the Meteorological Authority Act No. 2 of 2019 through Government Announcement GN 459 dated 14 June 2019. With the responsibility of coordinating, controlling and providing meteorological service.
Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) ni Taasisi ya Hifadhi ya Jamii iliyoundwa kwa mujibu wa kifungu cha 5 cha Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi [Sura 263] kwa lengo la kushughulikia masuala ya fidia kwa wafanyakazi waliopo katika sekta ya umma na binafsi.
e-GA inakusudia kutekeleza afua mbalimbali ili kusaidia taasisi za umma kutoa huduma mtandao kwa ufanisi. ISO 9001: 2015 CERTIFIED
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeanzishwa kwa Sheria Na.04 ya Taifa ya Umwagiliaji ya mwaka 2013.
Ukurasa Rasmi wa Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati